GreenCard
Njia rahisi kabisa ya kuenda Marekani
Mwaka wa 2010 serikali ya Marekani itapeana Green Card 55000! Usipoteze nafasi hii ya maisha!
Wewe pia unaweza kufanya ndoto lako la Amerika likamilike. Ukitaka kukaa Marekani kwa muda, kuanza maisha mapya huko, kusoma, au kufanya kazi na Green Card hii yote inawezekana kwako. Inakupatia haki za kukaa bila kipimo Marekani na kufanya kazi huko. Ile tu unahitaji ni bahati kiasi kwa bahati nasibu ya GreenCard ya DV-2012 Kulingana na Kanuni za Idhara la taifa la Marekani za mpango wa GreenCard, maombi yote ya dvlottery inatakiwa iwasilishwe kielekroniki. Kama mteja wetu uhitajiki kujisumbua kwa jambo lolote: Unaweza kuwasilisha mtandaoni na picha za kidijito, lakini unaweza kututumia wasilisha lako asili na picha za kawaida. Bila malipo ya ziada kwako, tutafanya maombi yako iwe ya kidijito natuiwasilishe kielektroniki. Na kanuni mpya inaobadilika mara kwa mara iliowekwa na mamlaka za Marekani, inaweza kuwa muhimu zaidi sasa kutegemea mtaalam mkubwa zaidi wa uhamiaji Marekani katika Europa, The American Dream, kwa uhusika ulio fanaka wa bahati nasibu ya GreenCard. Heri Njema!
Tuma maombi yako ya DV-2012 Green Card sasa!
*** Habari zinazotufikia – Julai 2009 ***
Mabadiliko ya uhamiaji ya Marekani haikufanikiwa Bahati nasibu ya Green Card imenusurika!
Mabadiliko ya Uhamiaji Merekani imekuwa jambo moto kwa ajenda ya bunge ya Senate kwa miaka mbili iliopita. Rais Bush mwenyewe alikuwa ameahidi mpango kama huyo katika kipindi chake cha pili. Mabadiliko haikufanikiwa katika uchaguzi wa majaribio uliofanya Juni 28, 2008. Uwezekano wake kuwekwa kwa ajenda tena mbele ya uchaguzi wa rais wa Novemba 2009 ni mdogo. Mabadiliko ingepeya watu milioni 12 wanaokaa Marekani bila kanuni za kisheria, uwezo wa kisheria wa kukaa Marekani. Lakini ingechukua muda mrefu na wale wagefaidika sana sana ni Wamexico ambao wanavuka mpaka kwa kuvuja sheria. Kwa upande mwengine, badiliko ingefanya jamii ya wahamiaji halali wawe na muda mgumu wa kijaribu kufuata jamii zao Marekani, na ingemaliza bahati nasibu maarufu ya GreenCard– njia tu ya wananchi wa nchi nyingi kuhamia Marekani kisheria.
Njia ya kuhusika kwa bahati nasibu 2008 na 2009
Kwa sababu mabadiliko ya uhamiaji haikufanikiwa, bahati nasibu ya GreenCard itadumu kwa angalao miaka miwili inaofuata. Kama unataka kushiriki kwa bahati nasibu unatakiwa utafute shirika linaloaminika kusimamia juhudi yako. Ni muhimu shirika itengeneze maombi ya mwanzo vizuri, na isimamie shughuli yote ya urasimu moja tu utapochaguliwa kama mshindi.
THE AMERICAN DREAM – wataalam wa bahati nasibu ya GreenCard
Mmoja wa shirika maarufu na iliyeaminika ya GreenCard duniani ni THE AMERICAN DREAM, ilio Berlin na New York. Wanasaidia wateja wao bure mpaka wanapowasili Merekani, na chini ya masharti mengine wanalipia ndege ya wamiliki wapya wa GreenCard. THE AMERICAN DREAM imesaidia juu ya washindi waliye faulu 8000 miaka kumi iliopita.
Na unaweza kuwa unafuata! Tuma maombi yako ya 2012 Green Card sasa!
Visa Service
Our visa service does not only include intensive and capable counselling. We will also assist you with the complete application service. Our service is for private and business customers. More
Immigration Visa
In order to live permanently in the USA, a green card is required. Persons with special qualifications have good chances of receiving a residence permit – with or without a job offer. But there are also other options. More
References
More and more companies choose our service for their visa application. We offer perfect service, a high level of competence and will help you to save time and paper work. More
"Dear TAD-Team,
That photo was taken in Washington D.C. one week ago. Thank you for your help. We are looking..."
"I humbly wish to thank National Visa Service immensely for your kind gesture towards donating a portion of your..."
"This is a once in a lifetime chance to be able to live in America and experience the rich..."
"Thank you, American Dream, for the first-class service and the great assistance. My dream to work in the USA..."
"Thank you for announcing me a winner. May God bless National Visa Service. "
"The American Dream helped me to realise my dream. I have always dreamed about living in the US, but..."
"I am both lucky and proud to have been chosen to become a future U.S. citizen. I can't wait..."