GreenCard » Huduma Yetu
Ile GreenCard. Na usaidizi wetu.
Vile tutakusaidia ukamilishe ndoto yako

Tangu 1996 tumekua anwani ya maswali yote juu ya mpango wa GreenCard. Tunakusaidia kwa kutuma maombi, na tunakunga mkono kama unachaguliwa na baadaye tunakaa kwa upande wako kama washauri wako.
Kama shirika ya kushauri mambo ya uhamiaji ilioidhinishwa na serikali kwa nchi ya Merekani tunakupa usaidizi kwa mambo mengi mbali mbali inaohusika.
Sisi ni Namba
THE AMERICAN DREAM hivi majuzi imechaguliwa kama huduma #1 ya GreenCard duniani kwa mwaka wa tatu mfululizo! Kwa jumla tovuti 73 za huduma ya bahati nasibu ya visa zilikaguliwa na waamuzi huru. Kwa matokeo kamili enda kwa www.mygreencard.com/review.php!
Eneo ya huduma zetu
Kundi ya kimataifa iliye Jeremani na Marekani inakagua maombi yako kwa uhakika rasmi.
- Tunapanga maombi yako kwa kibinafsi.
- Tunaweka mambo yako ya kibinafsi kwa njia ya faragha. Tunapea habari yako tu kwa mamlaka za Marekani, na kamwe si kwa watu wengine.
- Tunafuata utaratibu wote muhimu, kutoka kuwasilisha maombi mpaka kupokea GreenCard.
- Tunadhamini uwasilishi kwa muda mwema ya maombi yako Marekani. Maombi yatawasilishwa bila malipo ya ziada kielektroniki. (Tazama habari ya sasa)
- Tutakutumia cheti ya kuingizwa kwa maombi yako, ambao itahakikisha unahusika.
- Tutakuarifu mara kwa mara juu ya hali ya maombi yako.
- Unaweza kutazama hadi yako na uhariri data wako mtandaoni wakati wowote!
- Tutakuarifu moja kwa moja kama umeshinda, kwa hivyo tunadhamini utapokea nyaraka zako hata kama umehama (kama unatueleza anwani yako mpya).
- Tunakueleza juu ya mipango inaofuatilia mara kwa mara inapotokea.
- Tunatafsiri na kueleza nyaraka zote za washindi waliohusika.
- Tunakutumikia kibinafsi mpaka upokea GreenCard na kuenda mbele.
- Washindi wote wanapata nafasi kwa baraza yetu ya washindi inao juu ya wasilishi 13000 kutoka kwa washindi ya washindi.
- Tunakupa mawaida kila siku, hata jumapili na likizo za benki.
Tel.:+49-30-511 0 511 (pia kwa njia ya mazumgumzo mtandaoni, tazama pia Wasiliana). - Kwa washindi wote waliye na chaguo ya „Kila kitu“ tutasimamia gharama zote za ndege za kuenda Marekani na kurudi.
- Kama mteja mzoefu utapata mipango maalum kwa ushirika wako wa pili!
Kuwa mshindi pia!
Tumekua na washindi juu ya 14000 tangu 1996! Na unaweza kuwa utafuata!
Kukujulisha: Mwaka wa 2009, The American Dream iliungana na NATIONAL VISA SERVICE mmoja wa watangulizi wa shirika za sheria waliye ndani ya soko ya bahati nasibu ya GreenCard. NVS imekuwa ikihudumia tangu 1994 na imesaidia maelfu ya washindi, hasa kutoka Afrika, Asia na Marekani. Kwa kushikana mikono, THE AMERICAN DREAM and NATIONAL VISA SERVICE sasa wataweza kupeana huduma bora (na rahisi) zaidi kwa wateja wao kuliko mbeleni! Unaweza kufikiria mtoa hudumu mwingine anaye toa huduma kamilifu kama hii kwa hali bora zaidi?
Our Winners
We will be there for you, even after winning your green card. Find out what our winners say about the service of The American Dream and decide if you want to take the advantages we offer. Approximately 1,000 persons win a green card with The American Dream each year. More
Green Card
The green card authorizes you to permanently live in the USA. Only a little bit of luck is needed. During almost 15 years of business, The American Dream has helped more than 13,000 winners on their way to America. This makes us a reliable contact partner for all your questions about the USA. More
Green Card Check
You are not sure, if you are allowed to participate in the green card lottery? Just take our free online check and get the confirmation within a minute. More

"I humbly wish to thank National Visa Service immensely for your kind gesture towards donating a portion of your..."
"Hey TAD-Team,
wanted to say thanks for all the help and every step which went off without a hitch !..."
"Always expect the unexpected … every now and then. I almost did give up hope after participating in the..."
"Thank you, American Dream, for the first-class service and the great assistance. My dream to work in the USA..."
"Dear TAD Team,
Herewith I would like to thank you for the support on my way to become a green..."
"Thank you for announcing me a winner. May God bless National Visa Service. "
"This is a once in a lifetime chance to be able to live in America and experience the rich..."