GreenCard » Njia ya kupata GreenCard
Njia ya kupata GreenCard
Na bahati kiasi wewe pia unaweza kufaulu kama – ushindi wengine juu ya 8000 wa American Dream wamefanya mbele yako!
Kwa hivyo tuwe na matarajio na tu chukulie kwamba utahusika na ushinde kwa bahati nasibu inaofuata: Huu utaratibu uko aje na The American Dream itakufanyia nini?
Kujaza maombi
Kitu ya kwanza, bila shaka ni kutuma maombi kwa The American Dream kuhusika kwa bahati nasibu ya GreenCard. Kama umeoa, waharusi wote wawili wanaweza kujaza maombi halafu nafasi yenyu inakuwa mara mbili. Jisajilishe sasa!
Maombi yatakaguliwa
Tunakagua maombi yako na kuwasiliana nawe kwa barua kama kuna marekebisho au maswali, na muda mfupi baada ya tarehe ya mwisho kuwasilisha maombi, tuna tuma nyaraka zako kielektroniki kwa mamlaka za Marekani. Halafu utapata cheti binafsi kwa barua ikiwa na kopii rasmi yakuthibitisha upokeaji wa maombi yako na mamlaka za Marekani.
Utamaji wa nyaraka za ushindi
Kati ya Aprili na Julai ya mwaka unaofuata, utapokea (kama wewe ni mmoja wa washindi) simu kutoka kwetu kuhakikisha nyaraka asili za ushindi zilizopokewa kutoka Marekani. Idhara ya Taifa. Hii itakuwa kitabu inaojumuisha karibu peji 20 ambao tutatuma kwako kwa muundo asili pamoja na maelezo kamilifu juu ya jinsi ya kujaza nyaraka kutoka kundi letu la wataalam.
Waliko kwa ubalozi mdogo wa Merekani
Kulingana na namba yako ya ushindi, unaweza kutarajia waliko kwa ubalozi mdogo wa Merekani ulio karibu nawe, kati ya Octoba ya mwaka huo na miezi kumi inaofuata. Jeremani, hii daima inakuwa Frankfurt, kwa nchi zingine hii itakuwa ubalozi mdogo wa Marekani ambao unahusika na visa za uhamiaji. The American Dream itakusaidia kujitayarisha kwa miadi kwa kila namna, kibinafsi na bila shaka bila malipo.
Uingiaji wa kwanza Merekani
Baada ya mhojiano wa miadi uliofanikiwa, utakuwa mpaka miezi sita kuingia Marekani kwa mara ya kwanza. Kuingia kwako kwa mara ya kwanza kama mmiliki wa GreenCard aliyetarajiwa itakuwa na visa ya uhamiaji,ambaye inakuruhusu kuenda kwa laini za wenyeji wa Merekani na wamiliki wa GreenCard. Kwa idhini ya kituo cha ndege, alama yako ya kidole itachukuliwa na baadaye kuhifadhiwa kwa GreenCard yako, na utapokea muhuri kwa pasipoti yako inaothibitisha hadi yako kuwa mmiliki wa GreenCard mpaka upokea GreenCard yako halisi. Kinadharia, unaweza kuanza kufanya kazi mara tu utapofika Merekani. Lakini unaweza kuenda likizo mfupi au urudi siku hiyo hiyo, kama unataka kukaa kwa nchi yako asili kwa muda kabla ya kuhamia Marekani.
Anwani yako ya kupokea GreenCard.
Baada ya kuingia, unahitajika kupeana anwani ya Merekani kule GreenCard yako itatumwa baada ya juma chache. GreenCard haiwezi kutumwa ngambo na mamlaka za Marekani. Siku itakao tumwa itatangazwa mbeleni na barua ya kuarifu tendo. Kama huna jamaa au marafiki Marekani ambao wanaweza kukupokelea barua, basi unakaribishwa kutumia anwani ya ofisi ya New York ya The American Dream (baada ya kupanga nasi) natutakutumia.
Unapokea GreenCard yako
Tunatuma GreenCard asili kwa usalama kwa anwani yako iliye nchini mwako asili! Sasa wewe ni mmiliki fahari wa GreenCard na unaweza kufurahia manufaa ambaye inakuja na GreenCard!
Usaidizi baada ya kushinda
Kukujulisha: Huduma zinazopeanwa na The American Dream haziishii hapa! Hata kama unahitaji usaidizi sasa, unaweza kuja kwetu bila malipo kama mteja wetu. Kwa mfano, kama baada ya miaka 5 unafikiria kutuma maombi ya pasipoti ya Marekani ambaye inawezekana kinadharia.
Immigration Forms
You are looking for a special immigration form? Please make sure to send the form to the right address, as all USCIS office centers have different responsibilities. More
Winner Blogs
More and more people are already writing their own green card blog. It is very interesting to follow the whole procedure after the winning notification and it is very nice for new customers, to see that there are lucky winners. Please have a look at our winner blogs. More
Green Card Check
You are not sure, if you are allowed to participate in the green card lottery? Just take our free online check and get the confirmation within a minute. More

"Hey TAD-Team,
wanted to say thanks for all the help and every step which went off without a hitch !..."
"Dreams really do come true with the help of The American Dream. We will head to Florida in September..."
"I humbly wish to thank National Visa Service immensely for your kind gesture towards donating a portion of your..."
"Dear TAD Team,
Herewith I would like to thank you for the support on my way to become a green..."
"Thank you, American Dream, for the first-class service and the great assistance. My dream to work in the USA..."
"Here They Are!
Our green cards did arrive. Those cards are our tickets to start a new life. It..."
"Always expect the unexpected … every now and then. I almost did give up hope after participating in the..."