You are a registered customer of THE AMERICAN DREAM and already applied for the green card lottery? You can login and change your data online.
If you are a new customer, you can easily register here.
Apply now and take the chance of winning the green card.
THE AMERICAN DREAM, a governmentally approved US immigration agency, gives professional advice and help during the whole green card process - also in case of winning! Apply now and take part in the green card lottery DV-2014 - it will only take a couple minutes.
Basically everybody can apply. Use our eligibility check to find out if you qualify for the US GreenCard Lottery.
THE AMERICAN DREAM – U.S.A Services GmbH imekua ikijibu maswali yote yako juu ya Marekani. Mpango wa GreenCard tangu 1996. Kampuni iliundwa Berlin na Holger Zimmermann na Marcus Sieber, wasimamizi wakuu. Hawa wamejishindia wateja wengi walio ridhika na wanaendelea kutoa huduma ya kiwango cha juu isiolinganishwa kwa wateja wapya.
Mbele ya miaka ya tisaini, ni watu wachache tu waliekuwa wamesikia juu ya bahati nasibu ya Greencard. Kutokana na matangazo na maenezo ya THE AMERICAN DREAM kwa magazeti, televisheni na uwasiliano wa eletroniki, karibu 1000 wa wateja wetu wanajishindia GreenCard kila mwaka. Umaarufu wa THE AMERICAN DREAM unatarajiwa kua juu zaidi kwa miaka inoafuata.
Bila shaka huduma zetu hazikomi kwa wateja walio Ujeremani au hata Europa. Kwa miaka iliopita tumesaidia wateja kutoka karibu kila nchi ya dunia kuja Marekani. Maelfu ya watu wanaamini wafanyi kazi wetu waliye na ujuzi, na ubora wa huduma yetu "made in Germany".
THE AMERICAN DREAM hivi majuzi ilitathminiwa tena kama Huduma Bora Zaidi ya GreenCard Duniani kwa mwaka wa tatu mfululizo! Kwa jumla tovuti 73 za huduma ya
bahati nasibu ya visa zilikaguliwa na waamuzi huru. Kwa matokeo kamili, tafadhali bonyeza hapa!
Mwaka wa 2008, The American Dream ilichukua usimamizi wa NATIONAL VISA SERVICE, mmoja wa waanzilishi wa soko ya bahati nasibu ya GreenCard. NVS imekuwa ikihudumia tangu 1994 na imesaidia maelfu ya washindi, hasa kutoka Afrika, Asia na Marekani. Kwa kushikana mikono, THE AMERICAN DREAM and NATIONAL VISA SERVICE sasa wataweza kupeana huduma bora (na rahisi) zaidi kwa wateja wao kuliko mbeleni!