GreenCard » Mahitaji

Ustahilifu: karibu kila mtu!

WeltkarteKaribu kila mtu. Wali ambaye hawakubaliwi ni watu waliozaliwa nchi ilio na kiwango kikubwa cha uhamiaji Marekani.

Nchi ya wenyeji simuhimu kwa utaratibu huyo. Ile muhimu zaidi ni nchi ya kuzaliwa kulingana na ramani za nchi za dunia zinaotumika.

Watu waliozaliwa kati ya nchi yoyote iliotanjwa juu, zilizotengwa wanaweza kutuma maombi kama waharusi wenzao walizaliwa kati ya moja ya nchi zilizokubaliwa DV-2012, au kama watu walizaliwa kwa nchi iliotengwa lakini wazazi wa hawa watu walikuwa tu hizo nchi kwa muda mfupi.

Masharti Mengine

Hitaji lingine ni tu cheti la kukamilisha masomo ya shule ya upili (iliolingana na diploma ya shule ya upili ya Merekani) au miaka miwili kuenda juu ya’ uzoefu wa kazi (kati ya miaka tano iliopita) kwa weledi unaohitaji angalao miaka miwili ya mafunzo. Ushahidi wa matakwa hii unahitajika tu kama mhusika wa bahati nasibu anashinda GreenCard. Silazma kama unatuma maombi tu.

DOKEZO: Kama hauna masomo iliye sawa na stishahada ya shule ya upili na haujui kikamilifu kama kazi yako "inahitaji miaka miwili ya mafunzo" unaweza kuangalia Kumbukumbu ya mtandaoni ya Idhara ya Taifa ONET kwa kubonyeza hapa. Chapa waledi wako na ubonyeze "Muktasari". Utapata maelezo ya ile miaka ya uzoefu inahitajika kwa kazi yako kwa sura la "Job Zone > Overall Experience" ZINGATIA: Orodhesha jamii yako vizuri Lazma u orodheshe mbia/mharusi (kama umeoa) na watoto wote walio chini ya miaka 21 kwa maombi yako. Watoto wa mharusi mwenzako lazma waorodheshwe pia! Picha lazma zipeanwe kwa jamii yote ilio kwa maombi!


Hii sikumaanisha kwamba jamii yote lazma ihamie Marekani. Baada ya kushinda mtuma maombi anaweza kuamua nani atasafirisha au atawasha! Lakini jamii yote lazma iorodheshwe kwa moambi ya kwanza kuzuia kufutiliwa mbali!

 

Facts and Figures

Facts and Figures Tens of thousands of applications for the official Diversity Visa Program are submitted by The American Dream each year. Since 1996 the number of applications submitted to the US authorities has increased to over 400,000. More


Green Card Check

Green Card Check You are not sure, if you are allowed to participate in the green card lottery? Just take our free online check and get the confirmation within a minute. More


USA Travel Information

USA Travel Information Here you will find many impressions of this special county where „everything“ is possible. No matter if you are looking for backpacker tours through the US or Canada, a trip along the famous Route 66 or a cruise on the Mississippi – you will find all the information. More



Our winners

  • "Dear TAD Team, Herewith I would like to thank you for the support on my way to become a green..."

    More...
  • "Thank you for your lovely Certificate of Entry for the U.S. Green Card Lottery. I want you to know..."

    More...
  • "Dreams really do come true with the help of The American Dream. We will head to Florida in September..."

    More...
  • "Dear American Dream Team ! Thank you very very much for the unbelievable help ! My dream came true. I..."

    More...
  • "Here They Are! Our green cards did arrive. Those cards are our tickets to start a new life. It..."

    More...
  • "Hey TAD-Team, wanted to say thanks for all the help and every step which went off without a hitch !..."

    More...
  • "I humbly wish to thank National Visa Service immensely for your kind gesture towards donating a portion of your..."

    More...
  • "Dear TAD-Team, That photo was taken in Washington D.C. one week ago. Thank you for your help. We are looking..."

    More...
  • "A couple years ago, I heart about The American Dream and decided to participate in the GreenCard lottery. I..."

    More...
  • "Thanks to the American Dream I can now fulfill my life-long dream and start working and living in the..."

    More...

GreenCard Lottery

Apply before Sep 30th
and save 5 Euro!

Agiza sasa!

Already a customer?
Login here.


Live Support

Newsletter


Yes, I want to receive the free newsletter by e-mail!
Here is my email adress: