You are a registered customer of THE AMERICAN DREAM and already applied for the green card lottery? You can login and change your data online.
If you are a new customer, you can easily register here.





Apply now and take the chance of winning the green card.
THE AMERICAN DREAM, a governmentally approved US immigration agency, gives professional advice and help during the whole green card process - also in case of winning! Apply now and take part in the green card lottery DV-2014 - it will only take a couple minutes.

GreenCard Check Basically everybody can apply. Use our eligibility check to find out if you qualify for the US GreenCard Lottery.

Ile GreenCard. Na usaidizi wetu.

Vile tutakusaidia ukamilishe ndoto yako

service

Tangu 1996 tumekua anwani ya maswali yote juu ya mpango wa GreenCard. Tunakusaidia kwa kutuma maombi, na tunakunga mkono kama unachaguliwa na baadaye tunakaa kwa upande wako kama washauri wako.

Kama shirika ya kushauri mambo ya uhamiaji ilioidhinishwa na serikali kwa nchi ya Merekani tunakupa usaidizi kwa mambo mengi mbali mbali inaohusika.

Sisi ni Namba

THE AMERICAN DREAM hivi majuzi imechaguliwa kama huduma #1 ya GreenCard duniani kwa mwaka wa tatu mfululizo! Kwa jumla tovuti 73 za huduma ya bahati nasibu ya visa zilikaguliwa na waamuzi huru. Kwa matokeo kamili enda kwa www.mygreencard.com/review.php!

Eneo ya huduma zetu

Kundi ya kimataifa iliye Jeremani na Marekani inakagua maombi yako kwa uhakika rasmi.

  • Tunapanga maombi yako kwa kibinafsi.
  • Tunaweka mambo yako ya kibinafsi kwa njia ya faragha. Tunapea habari yako tu kwa mamlaka za Marekani, na kamwe si kwa watu wengine.
  • Tunafuata utaratibu wote muhimu, kutoka kuwasilisha maombi mpaka kupokea GreenCard.
  • Tunadhamini uwasilishi kwa muda mwema ya maombi yako Marekani. Maombi yatawasilishwa bila malipo ya ziada kielektroniki. (Tazama habari ya sasa)
  • Tutakutumia cheti ya kuingizwa kwa maombi yako, ambao itahakikisha unahusika.
  • Tutakuarifu mara kwa mara juu ya hali ya maombi yako.
  • Unaweza kutazama hadi yako na uhariri data wako mtandaoni wakati wowote!
  • Tutakuarifu moja kwa moja kama umeshinda, kwa hivyo tunadhamini utapokea nyaraka zako hata kama umehama (kama unatueleza anwani yako mpya).
  • Tunakueleza juu ya mipango inaofuatilia mara kwa mara inapotokea.
  • Tunatafsiri na kueleza nyaraka zote za washindi waliohusika.
  • Tunakutumikia kibinafsi mpaka upokea GreenCard na kuenda mbele.
  • Washindi wote wanapata nafasi kwa baraza yetu ya washindi inao juu ya wasilishi 14000 kutoka kwa washindi ya washindi.
  • Tunakupa mawaida kila siku, hata jumapili na likizo za benki.
    Tel.:+49-30-511 0 511 (pia kwa njia ya mazumgumzo mtandaoni, tazama pia Wasiliana).
  • Kwa washindi wote waliye na chaguo ya „Kila kitu“ tutasimamia gharama zote za ndege za kuenda Marekani na kurudi.
  • Kama mteja mzoefu utapata mipango maalum kwa ushirika wako wa pili!

Kuwa mshindi pia!

Tumekua na washindi juu ya 14000 tangu 1996! Na unaweza kuwa utafuata!
Kukujulisha: Mwaka wa 2009, The American Dream iliungana na NATIONAL VISA SERVICE mmoja wa watangulizi wa shirika za sheria waliye ndani ya soko ya bahati nasibu ya GreenCard. NVS imekuwa ikihudumia tangu 1994 na imesaidia maelfu ya washindi, hasa kutoka Afrika, Asia na Marekani. Kwa kushikana mikono, THE AMERICAN DREAM and NATIONAL VISA SERVICE sasa wataweza kupeana huduma bora (na rahisi) zaidi kwa wateja wao kuliko mbeleni! Unaweza kufikiria mtoa hudumu mwingine anaye toa huduma kamilifu kama hii kwa hali bora zaidi?

Our winners

  • jamesngewa
    "Thank you for announcing me a winner. May God bless National Visa Service."

    More...
  • BasiMikeGreencardgewinner2
    "Dreams really do come true with the help of The American Dream. We will head to Florida in September 2010...."

    More...
  • GreencargewinnerKuhn
    "Dear TAD Team, Herewith I would like to thank you for the support on my way to become a green carder..."

    More...
  • NicoGueltigGreenCardGewinner.jpg
    "Hey TAD-Team, wanted to say thanks for all the help and every step which went off without a hitch ! I..."

    More...
  • Familie P. GreenCard Gewinner
    "Here They Are! Our green cards did arrive. Those cards are our tickets to start a new life. It took..."

    More...
  • Rebecca Heimann
    "The American Dream helped me to realise my dream. I have always dreamed about living in the US, but so..."

    More...
  • onwubikonelson
    "I humbly wish to thank National Visa Service immensely for your kind gesture towards donating a portion of your profits..."

    More...
  • MarkK. GreenCard Gewinner
    "Always expect the unexpected … every now and then. I almost did give up hope after participating in the green..."

    More...
  • haydnblyth
    "This is a once in a lifetime chance to be able to live in America and experience the rich and..."

    More...
  • faissalrouyess
    "I am both lucky and proud to have been chosen to become a future U.S. citizen. I can't wait to..."

    More...

Facebook

Recommendations

Newsletter